Jinsi Ya Kuhack Application Za Betting Tips Zote Za Kulipia VIP 2020
Gmail.jackpeacey664@gmail.com
#hackapplication#bettingapplication#viptips

#bettingtips #betting #howto
Habari, Kwenye hii video nitaenda kukuelekeza jinsi ya ku HACK app za V.I.P BETTING ili uweze kubeti mechi za V.I.P pasipo kulipia.
Lengo la video hii sio KUKUHAMASISHA UBETI hapata ni kukuepusha na Matapeli wanaotaka ulipie mechi za V.I.P ikiwa nazo pia zinachana mikeka.
Video hii inakupa ukweli kamili kuhusu APPS hizo za wizi.
Usisahau kunisupport kwa KUSUBSCRIBE kwenye channel hii ambapo nitaleta video nyingi za kukuelekeza baadhi ya vitu inavyo kutatiza.Pia usisahau kusambaza video hii kwa watu wengine.
Kama una swali au Maoni nitumie kupitia;
FACEBOOK – Paul Mtunda
INSTAGRAM – paulmtunda_
WSP – +255678779793
NIPIGIE – +255744008493
Asante na Mungu akubariki.🙌🙏
SWAHILI TUTORIALS (JIBU KAMILI)
#thefrontpage #MunguNiWetesote
Video Rating: / 5
Good
kaka mbona yangu mimi inakataa
Nimekubali
Kunaaa anae wezaa kufuta zilee wanazouzaaaaa
Aiseee charii unatishaaaaaaaaa
Naona mbona haikubali hebu nifahamishe vizurii mkuu
Mbn inakataa hyo kudawnlod
Mbona hiyo app inagoma kuigiya
Kaka unajuwa jinsi kuondoa password kwenye app
Ww noma brother saluti mkuubwa
Brother naomba namba zako
Nitafuta wathsaap broo 0621464394
Broo natafuta wathsaap sijaweka mkuuu 0621464394
Naomba unitafute kwa whatsap unifundishe vizur namna ya kuhack naomba msaada kaka 0656542594
kaka kuna app nyingn hazitak kufunguka
Alfu video yko ins kwama kwama xna
Natakujua znazo tumia google email na bitcoin nasio luckyptcher iyo naijua, my whasup+255629159274 tafadhali mr
Sijaelewa nichek whatsapp namba 0654799494
hi
vipi kaka mimi nataka kujua jinsi ya kuhack leo mess vip nimeiona hapo ktk app zako pls mkuu
ASANTE SANA KWA KUTAZAMA
Kama unajambo hulielewi linakutatiza niandikie hapa kwa Comment nami nitatengeneza video kwa ajili yako….
LIKE
SHARE
SUBSCRIBE TO MY CHANNEL
Mungu ni wetu sote 🙌🙏.